Jump to content

Rate this song

Recommended Posts

INTRO

Yea
La Masela au sio

CHORUS

Itabidi umake appointment, na sina time for that shit.
Trap money chini ya mattress, kaa haimake doh haimake sense.
Siezi rukisha mechi, nikona wife na mistress.
Ati nliskia hamnipendi, basi sijaget hio message.

VERSE 1

Uhh yea, cheki 
Niggas taking turns being opps nami sishtuki.
I just wanna make a milli split it with my team mwana si ndo mamluki.
Sikupenda shule but you can't school me and my game is on Mario Manzukic.
Nikitema kwa beat itasound foolish,
weka reciepts ndio wajue si bure 
Uhh yea!
Fast money never stops ndio maana nashinda nkitisha.
Napiga malap ndio nisettle na fala kidesign ya Vera Sidika.
Talk to me nice uh baby unaeza pata zare nkaskiza.
I'm all the way up ndovu kwa pori nasema nlichorea kupinda.
Nilishaharibika, kuchoma makoro nkiwa kumi na sita.
Nyi mnachoma picha, hii itahitaji misa, Wow!
Come be Arnelisa shawty but usiswitch Noni Gathoni.
Life is a bitch nami niko horny nipate nikikaranga jikoni 
Uhh!

CHORUS

Itabidi umake appointment, na sina time for that shit.
Trap money chini ya mattress, kaa haimake doh haimake sense.
Siezi rukisha mechi, nikona wife na mistress.
Ati nliskia hamnipendi, basi sijaget hio message.

VERSE 2

Vile naokota mathao nikaa mkao akiniuliza Wenda chao?
Off to the money am headed sipotezi seconds kabla avue nlikua nshambao.
Nawalipia karo mi ndio baba yao, pull up kwa bank singing bella ciao.
Non of these niggas really on my league juu mi hucheza chafu na siogopi fouls.
We zidisha chuki mi sifi, rudisha kwa stove bado mbichi.
What I got cooking is worth half a ticket I'm still pushing weight na ni quarantine.
On the scene with a drill machine extendo longer than a limousine.
Changed up nigga what you mean? I didnt even know you kaa mbali na mimi
Sop sopu lakini bado jangili, I want all the smoke kaa Idi Amini.
Chaf pozi oya lazma njipini, since a shawty I was already tweaking.
Hana ngotha naeza ona she leaking, pink juice in my system,
Bruce Lee I ain't playing games with these niggas am prepping waeza dhani naendanga mission but its just a movie

CHORUS

Itabidi umake appointment, na sina time for that shit.
Trap money chini ya mattress, kaa haimake doh haimake sense.
Siezi rukisha mechi, nikona wife na mistress.
Ati nliskia hamnipendi, basi sijaget hio message.

Llawrenc. - Chini Ya Mattress (ARTWORK).png

Llawrenc. - Chini Ya Mattress (SINGLE).mp3

Link to comment
Share on other sites

Leave feedback

Leave an honest comment below. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Leave feedback...

×   Pasted as rich text.   Paste as plain text instead

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Loading...
×
×
  • Create New...